Mwisho wa somo hili, mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kufanya mambo ya fuatayo:
1. Kutaka kutumia akaunti yake mwenyewe katika kompyuta ya kushea.
2. Kutaka kuhakikisha taarifa zake zinabaki salama katika kompyuta ya kushea.
3. Kutunza taarifa zake eneo la desktop la akaunti yake katika kompyuta ya kushea.
4. Kuwa na shauku ya kumiliki flash disk au extrernal harddisk kwaajili ya kutunzi taarifa zake kutoka kwenye kompyuta ya kushea.
5. Kudumisha usalama wa taarifa zake ofisini kwao, pindi anapokuwa katika kutumia kompyuta ya kushea.
Karibu tujifunze pamoja.
BARAKA YOHANANI_ RUBANI WAKO KATIKA SAFARI HII...
0710585272.
Смотрите видео Computer Trainings: KANUNI KUU 2 ZA KUSHEA KOMPYUTA OFISINI KWENU... онлайн без регистрации, длительностью часов минут секунд в хорошем качестве. Это видео добавил пользователь Computer Trainings 26 Май 2024, не забудьте поделиться им ссылкой с друзьями и знакомыми, на нашем сайте его посмотрели 3 раз и оно понравилось людям.