Aris Tpsc , Aris Tanga
Hizo ni mbinu za kufungua Account yako ya TpSc Tanzania public service college kwa ajili ya kuangalia matokeo yako
1. ...kwanza inabidi uwe na Google chrome kwa ajili ya kuingia browser
2...inabidi u tafute kwenye box engine
Aris.tpsc.go.Tz
3...inabidi uwezeshe simu yako iwe
Desktop site kama computer
4.unaandika username ambayo namba yako ya mtihani na password ambayo ni jina lako la mwisho
5...baada ya kufungua unatakiwa kuandika password mpya na inabidi uikariri
💖💖💖💖💖💖
USISAHAU KU SUBSCRIBE , KULIKE NA KUSHARE
ARIS TPSC SUBSCRIBE
#Tpsc , #Tanzania , #Tanga , #Public service
Watch video Jinsi ya Kufungua Account yako Aris TPSC - kwa ajili ya kucheki matokeo yako ya mtihani online without registration, duration hours minute second in high quality. This video was added by user Baraka Keneth 10 February 2020, don't forget to share it with your friends and acquaintances, it has been viewed on our site 4,148 once and liked it 32 people.