NANI NI NANI (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania - Sms SKIZA 7012623 to 811

Published: 16 October 2019
on channel: Verony Productions
588,282
1.8k

Download or listen online: https://mdundo.com/song/2161764

Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
Producer: Verony Productions Ltd.
Composer: R. Masanja
Copyright ©Verony Productions Ltd.

Nani ni nani, ni nani ni nani,
Ni nani ni nani, nani kama Mungu
Mwenye uwezo, na mwenye ukuu
Ni nani ni nani nani kama Mungu

Ameniumba, jinsi nilivyo, nipendezavyo ni nani kama Mungu
Niseme nini, niimbe nini, nilie vipi, ni nani kama Mungu.

Tazama jua, mwezi na nyota, mbingu na nchi, ni nani kama Mungu,
Nao usiku, jua li wapi, ni maajabu ni nani kama Mungu.

Ananilinda, mchana kutwa, pia usiku, ni nani kama Mungu
Nikitembea, nikisimama, ananilinda , ni nani kama Mungu.

Tazama ndege wa msituni wanavyoishi , ni nani kama Mungu
Hawana shamba wala vilenge anawalisha , ni nani kama Mungu.

Na maarifa, tuliyonayo, yeye katupa, ni nani kama Mungu
Njooni pamoja, tumuimbie, na tumsifu, ni nani kama Mungu.


Watch video NANI NI NANI (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania - Sms SKIZA 7012623 to 811 online without registration, duration hours minute second in high quality. This video was added by user Verony Productions 16 October 2019, don't forget to share it with your friends and acquaintances, it has been viewed on our site 588,282 once and liked it 1.8 thousand people.