Waziri wa Ardhi Charity Ngilu azidi kuzozana na Swazuri

Published: 20 May 2014
on channel: KTN News Kenya
540
0

Kitumbua hakijaingia mchanga. Ndio kauli ya tume ya ardhi kutokana na mzozo kati yao na waziri wa ardhi Charity Ngilu. Tume hiyo imedokeza kuwa tofauti zilizopo huenda zikafikia kikomo wakati wowote kuanzia sasa. Wanachama hao walikuwa wakizungumza katika halfa ya kuzinduliwa kwa jopo la kusimamia sheria za usimamizi wa mizozo ya ardhi ya miaka ya tangu jadi.

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on   / ktnkenya  
Like us on   / ktnkenya  


Watch video Waziri wa Ardhi Charity Ngilu azidi kuzozana na Swazuri online without registration, duration hours minute second in high quality. This video was added by user KTN News Kenya 20 May 2014, don't forget to share it with your friends and acquaintances, it has been viewed on our site 540 once and liked it 0 people.