Naibu Spika Wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt Tulia Ackson ameiomba familia ya Mzee Ndonde Kumsamehe ndugu Yao aliye sababisha kifo Cha baba yake Kwa kumchinja.
Dkt Tulia Ackson ameyasema hayo wakati Wa kutoa salamu za Serikali katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mzee Edward Ndonde iliyo fanyika katika kanisa katoliki parokia ya Iyunga Jijini Mbeya.
Mzee Edward Ndonde alifariki Dunia tarehe 12 mwezi huu akiwa nyumbani kwake Kwa kuchinjwa na Mwanae Mussa Edward Ndonde akimtuhumu kua ni mshirikina.
NAIBU SPIKA AIOMBA FAMILIA KUMSAMEHE KIJANA ALIYEMCHINJA BABA YAKE...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Watch video NAIBU SPIKA AIOMBA FAMILIA KUMSAMEHE KIJANA ALIYEMCHINJA BABA YAKE... online without registration, duration hours minute second in high quality. This video was added by user Wasafi Media 01 January 1970, don't forget to share it with your friends and acquaintances, it has been viewed on our site 176,752 once and liked it 477 people.